6 Apr 2016

TAZAMA VIDEO HII FUPI IKIONESHA MSITU NA MAPOROMOKO YA MAJI YA 'KYAMNENE' YALIYOKO WILAYANI BUKOBA NDANI YA MKOA WA KAGERA,MAPOROMOKO HAYA NI KIVUTIO KIKUBWA SANA CHA UTALII WA NDANI HAPA NCHINI TANZANIA.


Maporomoko haya ya maji yanapatikana ndani ya msitu wa 'KYAMNENE' ulioko wilayani Bukoba ndani ya mkoa wa Kagera.
Watalii wengi wa ndani uvutiwa sana na maporomoko haya ya maji kitu ambacho kinawafanya kutembelea mara kwa mara maporomoko hayo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni